Rapper wa muziki wa kizazi kipya cha HIPHOP, anaetambulika
kwa jina la #SAMINELo_GHOST ambae hivi pumbe ameingia contract(mkataba) na
kampuni ya muziki GOLANI-KCM people from the jungle na soon anakaribia
ku-realise truck mpya iitwayo TAYCH chini ya mkono wa producer orecy!
SAMINELO_GHOST aliongezakwa kusema “ Ahh thanks GOD we have
completed all the necessary things that were to be fulfilled and luck enough
before the ending of this year we will realize both the song and its VIDEO
under our experienced director #MBESA_BWAY
on the same date, all we need is your support!”
No comments:
Post a Comment