Wednesday, July 22, 2015



OIII....HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUA! 
#GUES WHAT?!   NI WALE WAKALI WA MORO TOWN, WAKIWAKILISHA HARAKATI ZA MTU MWEUSI  @PFJ (People From The Jungle) GOLANI KCM!!, WAKO MBIONI KU-REALISE TRUCK YAO MPYA IKIAMBATANA NA CHUPA A.K.A VIDEO YAKE CHINI YA DIRECTOR -MBESA BWAY...stay tune!
truck:UMAARUFU TUMEUPIGA MARUFUKU KITAA
 

maneno haya yakisemwa na msemaji mkuu MR.SUCCED STOPA, akiongeza kwa kusema" aah kwa kweli chupa(video) hii tumejipanga ipasavyo kwaio tunaomba ushilikiano wenu wadau wetu ili kuweza kufanikisha mipangao na kufika mbali"

No comments:

Post a Comment